Kilimo Cha Tiki Ti Maji Pdf Creator

Forums New posts Search forums. What's new New posts Latest activity.

Zeiss lsm 510 meta manual

Members Current visitors. Log in Sign Up.

Jali Afya yako, Penda Mazingira, Okoa Jamiii

Everywhere Threads This forum This thread. Search titles only. Search Advanced search…. Log in. JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding. Kilimo cha matikiti maji watermelon : Ushauri na Masoko.

Thread starter C. K Start date Feb 19, K JF-Expert Member. Joined Nov 5, Messages Points Jamani habarini za wikiendi, Naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake.

Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali. Leo katika mijadala ya fursa za kilimo, kilimo cha tikiti maji hakikosi katika mijadala hiyo.

Hata katika kazi ninazofanya za kutoa ushauri kwa wakulima, wakulima wengi wamekua wakitamani sana kuingia kwenye kilimo cha tikiti maji na wamekua wakitamani sana kujifunza kuhusu kilimo hichi. Umaarufu na Kupendwa kwa kilimo hichi kunasababishwa na mambo mawili makubwa: Kwanza ni kilimo cha muda mfupi miezi 2 hadi 3 kiasi kwamba mkulima anaweza kulima hadi mara nne kwa Mwaka, Pili ni Kipato kinachopatikana, pamoja na kwamba kuna changamoto zake, lakini ukiweza kufuata kanuni na kulilenga soko vizuri timing ya soko unaweza kupata kicheko cha pesa kizuri sana.

Wapo wanatengeneza faida zaidi ya milioni 5 kwa ekari nawapo wanaopata hasara. Utangulizi Tikiti maji ni zao linalolimwa kibiashara. Ni moja ya mazao yanayotoka kwenye familia ya mimea ya Cucurbitaceae, mazao mengine ynayotoka family hiyo moja na tikiti maji, ni matango Cucumber , maboga pumpkin , musk melon, squash n.

Inaaminika kwamba asili ya tikiti maji ni huko jangwa la Kalari ambako lilikua linapendwa sana kwa sababu lilitumika kupooza koo au kukata kiu kwa watu wanaoishi karibu na Jangwa la Kalahari hii ni kwasababu tikiti maji ni tunda lenye maji mengi. Inakadiriwa zaidi ya asilimia 90 ya runda la tikiti ni maji, ndio maana huitwa tikiti maji. Hata hapa Tanzania Tikiti maji soko lake zuri ni kipindi cha joto ambako walaji wengi hutumia kwa ajili ya kukata kiu kutokana na joto.

Shamba linapaswa kua sehemu ambayo hakuna miti, maana kivuli cha miti kinaweza kusababisha matikiti yasitoe matunda. Aina ya Udongo Tikiti maji linaweza kulimwa katika aina nyingi za Udongo, lakini yanafanya vizuri zaidi kwenye udongo kichanga fine sand , tifutifu na tifutifu kichanga.

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Aina ya udongo itaadhiri uzalishaji wa tikiti kutegemeana na hali ya hewa. Vilevile unapootesha matikiti kwenye udongo wa kichanga, halafu pawe hakuna maji ya kutosha mimea itakufa kwa kukosa maji. Pia kumbuka udongo wa kichanga unapoteza maji kwa haraka, hivyo unapolima kwenye udongo wa aina hiyo hakikisha una maji ya kutosha na umwagiliaji uwe wa mara kwa mara. Utoaji wa maji shambani Drainage Kigezo kingine ambacho mkulima anapaswa kuzingatia wakati wa kutafuta eneo la kupanda matikiti ni Udongo wenye uwezo wa kutoa maji, yaani udongo usiotuamisha maji.

Unaweza kutengeneza mifereji itakayoasaidia kuondoa maji yanayozidi shambani. Mteremko wa Ardhi Topography Ni ile hali shamba linapokua limeinuka upande mmoja na upande mwingine kuna mteremko au unaweza kuiita slope.

Shamba lenye mteremko au slope ni rahisi sana kukumbwa na mmomonyoko wa udongo ambao utaharibu mimea yako. Hakikisha unapoachagua shamba, basi unaepuka maeneo ya mtindo huo.

Kwa upande wa matikiti, mwanga wa jua una athari kubwa sana kwenye mazao, aidha kupungua au kuongezeka. Hii inasaidia sana katika utengenezaji wa sukari kwenye tikiti. Pia mwanga wa jua husaidia ukuaji wenye afya wa mmea wa tikiti. Hivyo kwa ukuaji mzuri, unapochagua eneo la kulima tikiti chagua eneo ambalo Mimea itapata mwanga wa jua wa moja kwa moja direct sunlight kwa angalau masaa 6 hadi 8 kwa siku.

Hii ikimaanisha kwamba eneo liwe mbali na majenngo au miti mikubwa inayoweza kuleta kivuli kwenye shamba. Madhara ya Kukosa Mwanga wa Kutosha Matikiti yaliyopo eneo lenye mawingu ya mara kwa mara au eneo mbalo halipati mwanga wa jua wa kutosha, huzaa matunda yenye ladha mbaya.

Office software protection platform service manual

Mimea ikikosa mwanga, hunyauka na kufa. Uchavushaji pollination kwenye Mimea ya Matikiti hufanywa na wadudu kama nyuki, Shughuli za nyuki zinapungua wakati wa baridi au wakati wa mvua kwa sababu vipindi hivyo hakuna mwanga wa jua wakutosha. Hii ina maana kwamba hata eneo lenye kivuli sio rafiki kwa shughuli za uchavushaji Matikiti yanahitaji joto ili kuzalisha matunda matamu.

Hii ikimaanisha kama eneo litakua lina kivuli halitakua na joto hivyo matunda yatakosa sukari 5. Maji Upatikanaji wa maji katika eneo la kuzalishia matikiti ni kigezo kingine muhimu cha kuzingatia wakati wa kuchagua eneo. Ili kufanya kilimo chenye uhakika, jitahidi eneo lako liwe karibu na chanzo cha maji cha uhakika, kwa ajili yakufanya umwagiliaji.

Eneo liwe mahali ambapo gari kubwa inaweza kufika, ili kusaidia usafirishaji wakati wa kuvuna. Hii kimaanisha kama ukikosea kuchagua aina ya mbegu nzuri hata ukijitahidi mbinu nyingine, hazitakua na tija.

Psicologia dello sviluppo del linguaggio camaioni pdf reader

Vigezo vya muhumu kuzingatia wakati wa Kuchagua Aina ya Mbegu: Kabala mkulima hajafanya maamuzi ya mbegu ipi alime, ni vyema akazingatia vigezo vifuatavyo: Ni aina ipi ambayo ina soko? Kama unalima kibiashara, hichi ni kigezo cha kwanza kuzingatia, tambua kwanza soko unalolenga linapendelea aina ipi ya matikiti.

Kwa mfano kwa kanda ya ziwa, matikiti yenye mistari ya Zebra, hayana mpenyo kwenye soko la kanda ya ziwa, walaji wengi bado wanapendelea yale matikiti ya kijani au wengine wanayaita meusi, yasiyokua na mistari au mabakamabaka. Hivyo fahamu uwezo wa aina hiyo ya tikiti kuota kwenye mazingira yako.

Hivyo ni muhimu kujua gharama zake kabla hujanunua, ili kama uwezo wako hautamudu, uchague aina nyingine, ili usije pata hasara kwa kuchukua aina yenye kuhitaji matunzo makubwa ukashindwa kuyahudumia UPANDAJI Katika upandaji wa tikikiti zipo aina nyingi za upandaji, ila kwa hapa tutagusia aina mbili ambazo zina matokeo mazuri: Upandaji wa Mstari mmoja Single row system.

Post navigation

Hapa tuta linakua na mstari mmoja tu wa tikiti. Nafasi ya mche hadi mche ni sentimita Upandaji wa Mistari miwili double row system. Hapa tuta linakua na mistari miwili ya tikiti. Nafasi ya mstari hadi mstari ni mita tatu na nusu hadi mita nne 3. Nafasi ya mche hadi mche ni sentimita sitini 60cm.

Kilimo cha tiki ti maji pdf creator

Kiasi kinachotosha ni tani 5 had 8 kwa ekari moja. Mbolea za kupandia: Mbolea ya kupandia unaweza kutumia DAP, Minjingu au mbolea yeyote yenye kirutubisho kikubwa cha Phosphorous.

Mbolea ya Kupandia inawekwa wakati wa kupanda, kwenye shimo la kupandia, unatanguliza mbolea ya kupandia wastani wa gramu 5, kisha unafunika na udongo kidogo kisha ndio mbegu ya tikiti inafuata.

Lengo hapa ni mbegu isigusane na mbolea ya kupandia. Mbolea za Majani foliar fertilizers. Mbolea hizi hua ni zile zenye vile virutubisho vinavyohitajika kwa kiwango kidogo micronutrients.

Unapiga mara matikti yanapoota, kisha unapiga tena wakati wa utoaji wa maua, halafu unamalizia na wakati wa utengenezji wa matunda. Palizi pia inaweza kuharibu maua au matunda yale madogo yaliyoanza kutengenezwa. Na magugu yana uwezo mkubwa wa kutumia virutubisho kuliko mazao, ndio maana magugu yanakua kwa haraka kuliko mazao yaliyopo shambani. Hii hupelekea uzalishaji wa tikiti kupungua. Magugu yanashindania maji na mazao ya tikiti, na kupelekea tikiti kukauka.

Kama ilivyo kwa virutubisho hivyohivyo magugu yana uwezo wa kutumia maji haraka kuliko mazao. Magugu yanapunguza utoaji wa maua kwenye tikiti kutokana na kupungua kwa mwanga wa jua. Magugu husababisha kivuli kwa matikiti hivyo kukosa mwanga wa kutosha ambao husaidia mimea kutoa maua.

Magugu pia yanapunguza utoaji wa matunda kwenye mmea. Maua yakiwa machache hasa maua ya kike ina maana matunda yatakayotengnezwa yatakua machache zaidi. Magugu yanazuia shughuli ya uchavushaji pollination shaghuli ambayo ni muhimu sana kwenye kilimo cha matikiti. Hii ina maana wadudu wanaofanya ushavushaji kama Nyuki, watakimbilia kwenye maua ya magugu na kuacha kushughulika na maua yamatikiti. Kwa upande wa zao la tikiti bado hakuna dawa za namna hiyo.

Hivyo magugu kwenye tikiti yanahitahitji kufanyiwa palizi kwa mkono au jembe wakati mimea ikiwa midogo. Epuka kufanya palizi wakati tikiti limeshaanza kutoa maua.

KILIMO BORA CHA TIKITI MAJI

Uwekaji wa Matandazo Mulching Njianyingine ya kudhibiti magugu ni njia ya kuweka matandazo mulching. Kuna ana mbili za matandazo, ambayo ni matandazo ya Asili orgnic Mulch na Matandazo yasiyo ya asili inorganic mulch. Maranda Saw dust ni yale masalia yatokanayo na upasuaji wa miti au mbao. Nyasi au maranda hayo yanatandazwa shambani.

Ukipata maranda ni nzuri zaidi, maana baadaye yataoza haraka shambani na kuwa mbolea. Uwekaji wa matandazo yasiyo ya asili Inorganic mulching Njia hii ni utmiaji wa matandazo ya karatasi za plastic plastic mulching kudhibti magugu.

Hapa karasi nyeusi black polythene ndiyo inatumika maana hairuhusu magugu kuota. Pia inasaidia kuhifadhi unyevunyevu kwenye udongo kwa maana zinapunguza upoteaji wa maji evaporation.

Faida yake nyingine ya njia hii ni kwamba inadumu muda mrefu zaidi ya matandazo ya asili. Mizizi ya mmea wa tikiti huenda chini sana kutafuta maji kwa ajili ya kusaidia matunda yenye njaa ya maji.

Kilimo cha Tikiti Maji - Part 2

Mwagilia mimea maji ya kutosha, ili angalau maji yaingie inchi 6 kwenda chini. Hii itafaa zaidi kama unatumia mifumo ya umwagiliaji wa matone drip irrigation system. Matikiti maji yanahitaji maji kipindi chote cha ukuaji, ila kipindi cha muhimu zaidi ni wakati yanapotengeneza matunda na wakati wa ukuaji wa matunda. Kama maji yasipotosha kipindi hichi, tunda halitaweza kukua kufikia uwezo wake wa mwisho full potential , na inaweza kusababisha tunda kudumaa au kusababisha kudondoka.

Kipindi hichi ni cha kuhakikisha mimea inapata maji kwa gharama yoyote. Maji pia yanaweza kuharibu ubora wa matikiti endapo yatawekwa wakati ambao sio na kwa kiwango kisicho sahihi.